Sunday, January 22, 2012

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Apokea Maandamano Makubwa Ya Wana CUF Pemba

Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia baada ya kupokea Maandamano ya WanaCUF Pemba.
Wanachama wa CUF wakipita mbele ya Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif wakiwa na mabango yenye ujumbe wa Kuunga mkono maamuzi ya Baraza Kuu la CUF
 Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea Maandamano ya wanachama  CUF  wakiunga mkono uamuzi wa Baraza Kuu la CUF Kuwavua wanachama Hamad Rashid pamoja na wenzake yaliyofanyika jana Gombani ya Kale Pemba.
 Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na waandamanaji waliofika kwa wingi kwenye Maandamano ya kuyaunga mkono Maamuzi ya Baraza Kuu la CUF.
Sehemu ya Umati Mkubwa Wa Wanacuf  PembaWaliojiokeza kwenye kwenye Maandamani na Mkutano wa Hadhara.Picha zote na Bakari Mussa, Pemba



No comments:

Post a Comment