Monday, January 23, 2012

MAREKEBISHO YA LINK YA FUNUNU HABARI BLOG


Jina La Blog: FUNUNU HABARI


Habari wadau wote popote Duniani, Napenda kuwakaribisha katika Libeneke FUNUNU HABARI.. Ambapo kuna mabadiliko ya Link mpya ambayo ni http://fununuhabarii.blogspot.com/ ni tatizo ya kiutaalam kidogo ambayo ni nje ya uwezo wetu,


Ambapo Mwanzo ilikuwa ikisomeka http://www.fununuhabari.blogspot.com/

KUMETOKEA MABADILIKO KIDOGO

Asanteni sana kwa Kutembelea Fununuhabari na Karibuni tena.

TUNA WAOMBENI RADHI KTK HILI 

Kwa pamoja Tunaendeleza Burudani na Habari.


SASA UNAWEZA KUTUPATA KWA LINK MPYA

WANA LIBENEKE OYEEE!!
PAMOJA 2012

No comments:

Post a Comment