Kishindo Cha gari kuanguka kimewakusanya wana kijiji na kushambulia bia kikubwa walicho ambiwa ni kutokuchukua chupa majumbani.
Ajali hii imetokea barabara ya kibeta maeneo ya Magoti.
Mwanakijiji akiwa bwakisi baada ya kujipelekea bia zisizo na idadi.
Ajali ni ajali ila ukiangalia eneo la tukio na kilichotokea kiukweli vimepichana kabisa.
Hii ni barabara ilipotokea ajali hii,Mdau unaweza kuona mazingira haya na kile ninachokizungumzia.CHANZO;BLOGU YA BUKOBA WADAU







No comments:
Post a Comment