Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Lucy Nkya, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu mgogoro wa Madaktari walio katika mafunzo, Dar es Salaam jana. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara, Blandina Nyoni na kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali,Deo Mtasiwa.Picha na Kassim Mbarou

No comments:
Post a Comment