Wednesday, February 1, 2012

BENKI YA POSTA TANZANIA SASA KUANZA KUPOKEA MALIPO YA KODI YA MAPATO NA MALIPO YA LESENI ZA UDEREVA

Mkurugenzi Wa Benki Ya Posta Tanzania (TPB),Sabasaba Moshingi (Kushoto)
Akifafanua Jambo Kwenye Mkutano Wa Waandishi Wa Habari,Kuelezea Mkataba Kati Ya Benki Hiyo Na Tra,Ambapo Matawi Yote Ya Benki Ya Posta Yanapokea Malipo Ya Kodi Ya Mapato Na Malipo Ya Leseni Za Udereva,(Kulia) Ni Kaim Mkurugenzi Wa Kitengo Cha Elimu Kwa Mlipa Kodi Allan Kiula.Mkutano Ulifanyika Jana Makao Makuu Ya Benki Ya Posta Tanzania

Mkurugenzi Wa Benki Ya Posta Tanzania (TPB)Sabasaba Moshingi (Kushoto)Akipeana Mkono Na Kaimu Mkurugenzi Kitengo Cha Elimu Kwa Mlipa Kodi Wa TRA,Allan Kiula Kwenye Mkutano Wa Waandishi Wa Habari,Kuelezea Makubaliano Kati Ya Benki Hiyo A Tra,Ambapo Matawi Yote Ya Benki Ya Posta Tanzania Yanapokea Malipo Ya Kodi Ya Mapato Na Malipo Ya Leseni Za Udereva.Mkutano Huu Ulifanyika Jana Makao Makuu Ya Benki Ya Posta Tanzania

No comments:

Post a Comment