Tuesday, January 31, 2012

Mbwembwe Za Mpiga Gitaa Wa Extra Bongo

  Mpiga gitaa la bass wa Extra Bongo akipiga gitaa huku mnenguaji wa bendi hiyo akicheza mbele yake wakati msafara huo ulipopita katika barabara ya Uhuru Jana .

No comments:

Post a Comment