Thursday, February 9, 2012

MAMA NKYA NA BISIMBA WAKAMATWA NA POLISI

Walikwenda Muhimbili wakati Pinda akiwa kwenye kikao na madaktari.Hatufahamu nini kimeendelea ila ni kama walipelekwa kituo cha Osterbay kwa mahojiano.Tunafuatilia.Yasemekana hasa kisa ni maandamano ya jana waliyoyaongoza
Afisa wa polisi aliyehojiwa sababu za kukamatwa kwao amesema walikuwa wanasababisha msongamano mkubwa wa watu na kwamba wangehatarisha amani wakati waziri mkuu akiendelea na kikao
Mdau wa Mjengwablog,Dar

No comments:

Post a Comment