Friday, February 10, 2012

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee Wa CCM Mkoani Dodoma

Picha Juu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye  mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment