Friday, February 10, 2012

Rais Jakaya Kikwete Atua Dodoma na Kuongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

 D1: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi. Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo January 10, 2012
D2: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha  Baraza la Mawaziri ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment