Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba ‘Komandoo’ akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka jijini Dar es salaam. Cheka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
No comments:
Post a Comment