Sunday, April 29, 2012

HAKI NGOWI NA EDNA KYANDO WAMEREMETA JIJINI DAR.

 Mwana Libeneke Mkongwe nchini Haki Ngowi na Edna Kyando wamemeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam na kuhitimisha siku yao kuu kwa mnuso wa nguvu katika hoteli ya Golden Tulip usiku wa kuamkia leo.
fununu habari blog inatoa pongezi kwa mwana libeneke mwenzetu Haki Ngowi na mkewe Edna Kyando kwa kuunga kuwa mwili mmoja. Tunawatakia maisha mema na yenye Furaha na Baraka tele Mungu awabariki sana.


No comments:

Post a Comment