Thursday, April 12, 2012

PICHA SABA ZA MAMA KANUMBA KUTEMBELEA KABURI LA MWANAE LEO.

Wadogo zake Kanumba.
Mama mzazi wa Kanumba alieshika msalaba akiwa pamoja na ndugu zake Kanumba.

Kutokana na uchungu wa kuondokewa ghafla na kaka yao bado wadogo zake waliendelea kulia.
Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Kanumba akiwa analia, pembeni yake ni mjomba wa Marehemu.

picha na habari kwa hisani ya milard ayo website

No comments:

Post a Comment