Monday, April 23, 2012

RAIS KIKWETE AMFARIJI MJANE WA MUTHARIKA,NA KUWEKA SHADA YA MAUA KABURINI.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Marehemu Rais Wa Malawi Bingu wa Mutharika, Bi Calista Mutharika wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Ndata,Wilayni Thyolo, nje ya jiji la Blantyire, Malawi leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo leo(picha na Freddy Maro) 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshimba za mwisho katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo leo(picha na Freddy Maro) 


No comments:

Post a Comment