Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa ka furaha na Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyaakzi Tanzania (TUCTA) Bw Nicholaus Mgaya leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.(PICHA NA IKULU).
Wafuasi wa chama cha upinzani cha CUF kilifanya kweli wakati wafuasi wake walipojitokeza kwa mamia kumlaki Rais Jakaya Kikwete wakati akiwasili jijini Tanga leo asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa za Ikulu, Rais Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika shamra shamra za Siku ya Wafanyakazi itayoadhimishwa kitaifa jijini Tanga Kesho.
Wafuasi hao wa CUF bila kujali itikadi zao walijitokeza kumpokea Rais wao Dkt. Jakaya Kikwete ambaye alionekana mtu wa furaha kwa jambo hilo la kulakiwa kwa wingi na wanachama wa CUF.
No comments:
Post a Comment