Friday, May 18, 2012

BARAKA NA RUKIA WAMEREMETA.

Mama sasa shughuli imeisha niwakati wa kwenda kupumzika mama..alisikika Baraka akimwambia mkewe.
Bwana harusi na Bi.Harusi wakiwa na nyuso za furaha.

Wageni waalikwa wakiserebuka.

No comments:

Post a Comment