Monday, May 28, 2012

BREAKING NEWS BOMU LALIPUKA MOI AVENUE


Massive blast rocks building housing several clothing stalls on Moi Avenue near the Mount Kenya University. Scores injured: deaths unclear
Thick smoke engulfs Mt Kenya University along Moi Avenue Street after an explosion rocked a city stal.At least 30 people have been injured in a 1:10pm explosion that rocked an exhibition stall next to Mt Kenya University Campus along Nairobi's Moi Avenue stree



Kumetokea mlipuko katika mji mkuu nchini Kenya,Nairobi.
Mlipuko huo ulitokea muda mfupi baada ya saa saba mchana saa za Afrika Mashariki katika barabara ya Moi kwenye jumba moja la kibiashara lililo pia sehemu ya chuo kimoja kikuu cha kibinafsi nchini humo.
Taarifa za mwanzo zinasema huenda kuna idadi kubwa ya watu waliojeruhiwa na wengine kufa.


Haijafahamika chanzo cha mlipuko huo. Makundi ya waokoaji yanaendelea na shughuli ya uokoaji.


Kumekuwa na milipuko kadhaa nchini Kenya tangu taifa hilo lilipotuma majeshi yake nchini Somalia kukabiliana na kundi la kigaidi la al-shabab.
Kundi hilo limeshutumiwa katika siku za hivi karibuni kwa mashambulio kadhaa nchini humo..


Taarifa zaidi zitawajieni baadaye.



No comments:

Post a Comment