Wednesday, May 16, 2012

DIWANI KATA YA KIPAWA AANDA HAFLA YA CHAKULA KUCHANGIA MFUKO WA KUBORESHA ELIMU.

Diwani wa Kata ya Kipawa Ilala jijini Dar es Salaam, Bonnah Kaluwa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu chakula cha hisani alichokiandaa kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kuboresha elimu katika kata yake hafla itakayofanyika juni 6, mwaka huu, hoteli ya Kilimanjaro Kempinski ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa . Kushoto ni Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo Said Fundi. 


No comments:

Post a Comment