Tuesday, May 15, 2012

HAPPY MOTHERS DAY – TUMSAIDIE MAMA YETU MPENDWA.

Ni siku moja tu imepita tangu tusherehekee siku ya akina mama Duniani.
Lakini si kila mwanamke anapata bahati ya kushereheka sikukuu kama hii ilihali wengine tukimshukuru Mungu kwa siku hii muhimu.
Mimi na Tanzania ilimhoji Mama yetu Mpendwa Christophina ambaye amekuwa akiteseka na maumivu ya mguu kwa muda mrefu. Hadi sasa amekwishapata mchango wa shillingi 710,000/=na anahitaji jumla ya shilingi 1,200,000/= kwa ajili ya operesheni. Hivyo amepungukiwa shillingi490,000/=. Shime watanzania!
Anahitaji msaada wa matibabu. Hebu tumsikie na tumsaidie.
Namba za simu na account zilizotolewa hapo ni za kwake mwenyewe kama kuna mtu atapenda kuwasiliana naye.
Hoyce Temu – A.k.a Mama Ruby
Mtangazaji – Mimi na Tanzania


No comments:

Post a Comment