Saturday, May 5, 2012

HILDA EDWARD NDIYE REDDS MISS USTAWI WA JAMI 2012

Redds Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward katikakati akipunga mikono baada ya kufanikiwa kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika Shindano kali lililofanbyika katika Ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni Mshindi wa Pili na watatu wa shindano hilo Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe. Washindi hawa wataungana na washindi wa Vyuo vingine katika Fainali za Redds Vyuo vya Elimu ya Juu Baade mwaka huu na kupata mshindi atakae wakilisha wasomi hao Fainali za Redds Miss Tanzania 2012

No comments:

Post a Comment