JK AMPOKEA RAIS ALLASANE OUATTARA WA IVORY COAST JIJINI ARUSHA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha, akiwa ni mmoja wa wageni mashuhuri kuhudhuria mkutano wa AfDB. (Picha na IKULU).
No comments:
Post a Comment