Wednesday, May 2, 2012

KATIBU MKUU KIONGOZI AKABIDHI OFISI MPYA ZA TUME YA KATIBA KWA JAJI WARIOBA.


Katibu Mkuu Kiongozi Sefue Ombeni (kulia), akisoma hotuba ya makabidhiano ya ofisi za Tume ya Katiba kwa niaba ya Rais leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Joseph Warioba na Waziri wa Fedha na Katiba, Celina Kombani.
Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye halfa hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa katika picha  ya pamoja mbele ya ofisi yao waliyokabidhiwa leo.

No comments:

Post a Comment