Sunday, May 20, 2012

MDAU OLTESH ELIGUARD NA SSANYU SYLVIA WAMEREMETA JIJINI DAR.

Maharusi Bw.Oltesh Eliguard Metili na Ssanyu Sylvia Nyinondi wakiwa na wapambe wao wakielekea kanisani, tayari kwa kufunga ndoa takatifu.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa akizibariki pete za ndoa za maharusi kabla ya maharusi hao kuvishana.
Maharusi,Bw.Oltesh Eliguard Metili na Ssanyu Sylvia Nyinondi wakiaga watu mbalimbali waliofika ndani ya kanisa la Azania Front,mara baada ya kufunga ndoa takatifu jijini Dar.

No comments:

Post a Comment