Wednesday, May 30, 2012

NI WEMA SEPETU TENA KATIKA ULIMWENGU WA MAPENZI, SAFARI HII NI MWINYI WA MACHOZI BAND.

” Will You Marry Me Wema”… ni maneno ya Rapa wa MACHOZI BAND anafahamika kwa jina la Mwinyi.

“Oooohh…. Baby Of course I do Baby….”Wema  akamkumbatia mpenzi wake.

“Put a ring on it”…
Wema Sepetu akimpa busu bashasha mpenzi wake….Mwaaaah….!!!


No comments:

Post a Comment