Monday, May 21, 2012

RAIA WA LIBYA ALIYELIPUA NDEGE KATIKA ANGA LA LOCKERBIE AL-MEGRAHI AFARIKI DUNIA.


Afisa huyo ambaye hata hivyo alikana kuhusika na tukio hilo lililouwa watu 270, alikutwa na hatia mwaka 2001 lakini aliachiwa 1999 na kurejea Libya kwa sababu ya kuugua maradhi ya saratani na hivyo kutotarajiwa kuishi kwa muda mrefu.
Megrahi amefariki mjini Tripoli ambako alikuwa akiuguzwa hospitalini. 


No comments:

Post a Comment