Friday, May 4, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WENYEVITI WATENDAJI WA KAMPUNI ZA COCA COLA NA PAN AFRICAN ENERGY.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Pan African Energy BwanaDavid Lyons, ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CocaCola Bwana Muhtar Kent Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati alipomtembelea.

No comments:

Post a Comment