Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman, IKULU
No comments:
Post a Comment