Watu takriban 34 wameuawa katika shambulizi la mabomu ililofanywa na watu waliokuwa na silaha kwenye soko la mifugo kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Kundi la kiislamu la Boko Haram linashukiwa kufanya mashambulizi hayo.
Mashambulizi mengine kama hayo dhidi ya wakristo yalifanywa Jumapili iliyopita na kusababisha vifo vya watu 19.
Hata hivyo Polisi wamedai kumuuwa kiongozi wa mashambulizi yaliyofanywa siku ya Jumapili.
source by modewejblog
No comments:
Post a Comment