Usiku wa kuamkia jana kipindi cha The Mbinie Show kitakachokuwa kinaruka kwenye Runinga ya EATV kila alhamisi kilizindukiwa rasmi ndani ya ukumbi wa Kivukoni ndani ya Serena Hoteli ambapo mbali ya kuonesha demo pia alirekodi kipindi na Muigizaji Steve Nyerere na Mwanamuziki Diamond.
No comments:
Post a Comment