Kabla ya mpira kuanza kati ya Engalnd vsUkraine katika uwanja wa Donestsk Ukraine.
Mchezaji wa England's Wayne Rooney (katika) akaigombania mpira wa kichwa na wachezaji wa Ukraine's Yevhen Khacheridi katika fainali ya UEFA Euro 2012 hadi mwisho wa mpambano huo, timu ya uingereza imetoka na ushindi wa 1-0.
Mchezaji wa England's Wayne Rooney akishangilia bao lilowapilikea robo fainali.
Timu ya Uingereza yafanikiwa kuingia robo fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ukraine.
Bao walilonyimwa Ukraine mpira uliovuka mstari Referee kapeta
Kwa hisani ya http://swahilivilla.blogspot.com
No comments:
Post a Comment