Friday, June 29, 2012

MDAU TOKA MITANDAO YA JAMII

...Haya ndo tunayoyapigia kelele..wagonjwa wanalala chini hakuna hata shuka katika hicho kigodoro alicholalia kichanga hicho na mamake..Watanzania wengi bado hawajaelewa nini kinasababisha migomo hii..

No comments:

Post a Comment