Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia) akiongea na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 . Mwingine ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi(CUF) Shaweji Mketo(kushoto).
No comments:
Post a Comment