Saturday, June 30, 2012

Rais wa Zanzibar DK SHEIN AENDA UWINGEREZA KWA ZIARA MAALUM

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.      [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment