Thursday, June 21, 2012

TANGAZO RASMI KUTOKA WIZARA YA AFYA:

TANGAZO RASMI KUTOKA WIZARA YA AFYA:

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda Kuwajulisha Wanafunzi wote Waliohitimu Vyuo vya Afya Nchini Mwezi Machi 2012,Kufika Wizarani ili Waweze Kuchukua Barua za Kupangiwa Vituo vya Kazi Kabla ya Tarehe 30 June,2012.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.

Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz

Imetolewa na: 
Regina L. Kikuli. Kaimu Katibu Mkuu. 21/06/2012.


No comments:

Post a Comment