Sunday, June 24, 2012

Taswira Za Isha Mashauzi Alivyowadatisha Mashabiki Huko Den Haag nchini Uholanzi

Mwanamuziki nyota wa muziki wa taarab nchini, Isha Mashauzi hivi karibuni aliwapagawisha mashabiki wakati alipofanya onyesho katika mji wa Den Haag nchini Uholanzi. Isha, ambaye anamiliki kundi la muziki huo la Mashauzi Classic, alipelekwa huko na promota King James.

No comments:

Post a Comment