Monday, June 25, 2012

WANAUME FAMILY, MWANAFA, FEROUZ NA KHADIJA KOPA WAFUNIKA DAR LIVE.









Sehemu ya umati wa watu walioitikia shoo hiyo.
Wasanii wa kundi la Wanaume Family, MwanaFA, Ferouz na Khadija Kopa jana walifunika vilivyo katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kwenye tamasha la Wanaume Family Spesho.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL)


No comments:

Post a Comment