Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Intercollege 2012 wakiangalia magari aliyowahi kutumia baba wa Taifa Hayati Julius K.Nyerere tangu zamani mpaka kufariki kwake ambapo magari hayo yapo katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.
Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Intercollege 2012 wakiangalia samaki aina ya Silikanti "KISUKUKU' ambaye mara ya mwishop kuonekana ilikuwa mwaka 1965 kabla ya kuonekana tena mwaka 2003 katika kisiwa kimoja huko KILWA, .Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.
Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Intercollege 2012 wakiangalia simba ambaye alionekana miaka ya nyuma .Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.
Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Intercollege 2012 wakiangalia banda la wanyama katika makumbusho ya Taifa KILWA, .Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.
No comments:
Post a Comment