Isha Mashauzi a.k.a Jike la Simba akiwajibika kwa steji.
Kwenye moja na mbili alisababisha mtu mzima DJ AD a.k.a MAFUVU kutoka EATV na Radio
Umati wa Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishangweka katika viwanja vya Posta Kijitonyama mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment