Tuesday, July 3, 2012

MABONDIA TANGA WAMKUMBUKA BONDIA MAREHEM MAGOMA SHABANI NA KUMCHANGIA KWA KUTUPIANA MASUMBWI

 Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi uliofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondia Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa pointi
MABONDIA  Patrick Kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com

No comments:

Post a Comment