Wednesday, January 18, 2012

KOZI YA UKOCHA WA NGUMI YA KIMATAIFA INAENDELEA KWA VITENDO KIBAHA MKOA WA PWANI

Baadhi ya Makocha wa Mchezo wa Ngumi nchini wakifanya mazoezi kwa vitendo 

wakati wa kozi ya kimataifa ya mchezo huo kwa makocha inayoendelea katika 

shule ya Filbert Bayi Kibaha Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment