Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya vijana Moravian mkoani Dodoma(Dodoma Moravian Town Choir)wakiwa wamepozi nje ya kanisa mara baada ya kumalizika kwa ibada.hakika Mungu wetu ni mwema kwani ameendelea kuifikisha injili yake ama neno lake hata sehemu ambazo hazikusadikiwa kufika, Eee Yesu tunakushuru
KUWATEMBELEA INGIA .http://hekimagospelchoir.blogspot.com/

No comments:
Post a Comment