Wednesday, January 18, 2012

Mgombea mteule wa CCM jimbo la Uzini Zanzibar, Mohamed Raza Achukua Fomu Za Uchaguzi

Mgombea mteule wa CCM jimbo la Uzini Zanzibar, Mohamed Raza akikabidhiwa fomu ya uchaguzi kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Mussa Ali Juma (kulia) tukio hilo lilifanyika kwenye ofisi ya Tume, wilaya ya Kati Unguja jana.Picha na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment