Sunday, January 22, 2012

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji) Dk. Mary Nagu Rasmi Vikundi Vya Akiba na Mikopo,Kukopeshana Majiko ya Gesi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji) Dk. Mary Nagu (Mb) akiwasha jiko la Gesi mara baada ya kuzindua rasmi vikundi vya Akiba na mikopo kukopeshana majiko ya Gesi, katika viwanja vya Kidongo Chekundu, Mnazimmoja Dar es Salaam jana, katikati ni mwenyekiti wa Jumuiya ya kukuza Uchumi Manisipaa ya Ilala (JUKUILA), Musa Salum.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment