Friday, February 10, 2012

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Atembelea Ukuta wa Ukingo wa Bahari ya Pangani

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akitowa Maelezo kuhusu Ukuta wa Ukingo wa Bahari ya Pangani wakati wa Ziara yake jana alioifanya huko Pangani kufuatia Maagizo ya Makamu wa Rais Dkt Muhammed Gharib Bilali alipofanya ziara hivi karibuni Mkoa wa Tanga.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment