Friday, February 10, 2012

Taswira Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa  Viwanda na Biashara, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Februari 10, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa (kushoto) , Pindi Chana (wa pili kulia) na  Catherine Magige (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 10, 2012.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa, William Lukuvi akizungumza na Mbunge wa zamani wa Kasulu, Profesa Joseph Mbwiliza kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, Februari 10, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment