Wednesday, February 8, 2012

Taswira Halisi Kutoka Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Leo Hii Kufwatia Mgomo Wa Madaktari Unaoendelea Hivi Sasa


 Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari
 Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali  ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu
 Muonekano wa Wodi Mbalimbali
Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili  Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa
 Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali  halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre

No comments:

Post a Comment