Msemaji wa Mpambano wa Ngumi kati ya Mada Maugo na Francis Cheka , Yasini Abdallah akionesha mkanda na gari atakalopewa mshindi wa mpambano baina ya Cheka na Maugopicha.(www.superdboxingcoach. blogspot.com).
Johannes Lugenge kushoto na Promota wa Mpambano wa Mada Maugo na Francsis Cheka, Lucas Rutainurrwa wakionesha mkanda wa Ubingwa wa I.B.F Afrika na gari atakalochukua bingwa wa mchezo huo Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment