Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi moja kati ya kompyuta 20 zilizotolewa na Airtel kwa chuo kukuu cha Dodoma (UDOM) kwa Makamu Mkuu wa chuo hicho Profesa Idrisa Kikula (kulia) jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika chuoni hapo. anaeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Bahi Bi Betty Mkwasa (kati). Airtel imetoa vitabu 104 na computer 20 vyote vina thamani ya milioni 25/- TZS ikiwa ni muendelezo wa Airtel katika kuchangia sekta ya Elimu nchini.
No comments:
Post a Comment