Makamu wa kwanza wa Rais
wa Zanzibar Maalim Seif Hamad Sharif ambaye pia ni
Katibu mkuu wa CUF ,akisalimiana na hasimu wake mkubwa ambaye ni Mbunge
jimbo la Wawi, Hamadi Rashid walipokutana Ikulu jijini Dar es
Salaam hivi karibuni wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa kamati ya kuratibu
maoni ya Katiba.
Hapa wakisalimiana kwa bashasha hakuna bifu isiyoisha kwenye siasa
No comments:
Post a Comment