Sunday, May 20, 2012

AIRTEL YAFANYA UTAMBULISHO KABAMBE YA HUDUMA MPYA ( SUPA 5 ) NDANI YA COCO BEACH JIJINI DAR.

Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,aliyejitambulisha kwa jina moja la Rich akimwaga mistari mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.shoo kubwa ya uzinduzi kufanyika kesho jumapili hapo hapo coco beach siku nzima
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya Airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
BAADHI YA WASANII WA KIKUNDI CHA KINOKO,KUTOKA MWANANYAMALA WAKITUMBUIZA JUKWAANI MBELE YA UMATI WA WATU (HAWAPO PICHANI),MAPEMA LEO JIONI WAKATI  KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA AIRTEL, ILIPOKUWA IKIFANYA UTAMBULISHO NA UZINDUZI  WA HUDUMA  MPYA YA AIRTEL/AIRTEL SUPER 5 ULIOFANYIKA KWENYE UFUKWE WA COCO BEACH,JIJINI DAR.
Wateja wapya mbalimbali wakiendelea kuhamia Airtel, mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Sehemu ya umati wa watu waliofika mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,akionesha umahiri wake wa kughani jukwaani mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.

Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel  wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.


HA\BARI KWA HISANI NA ..http://mrokim.blogspot.com

No comments:

Post a Comment