Katibu mtendaji wa baraza la Taifa la mitihani Tanzania (NECTA),Dk. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa shule zote za Sekondari nchini,Katika Matokeo hayo,Shule iliyofanikiwa kuongoza ni MARIAN GIRLS iliypo mjini Bagamoyo.
Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na kusema kuwa sasa adhabu itakuwa ni mwaka 1 kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.
BY NECTA
No comments:
Post a Comment